Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za mitaa Tanzania TALGWU kimelaani matamshi aliyotoa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda dhidi ya mtumishi wa umma wilayani Longido huku wakidai yanavunja heshima ya mfanyakazi, yanadhalilisha na kiasi kikubwa yanavunja ari na morali ya kufanya kazi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHU KUSUBSCRIBE
TOA MAONI YAKO HAPA
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!
