Hisia ni mawasiliano! Mapenzi ni hisia! Mapenzi ni mawasiliano!
Mawasiliano matamu hutia radha katika mapenzi! Uchawi wa mapenzi upo katika mawasiliano!
Kila siku tunapaswa kuwa wapya katika mahusiano yetu kwa kutafta namna tamu za kuwasiliana na wapendwa wetu katika kufikisha hisia zetu juu yao!
Kwa mtu sahihi hauna haja ya kutafuta namna mpya za kumvutia! Uwepo wako kwake ni faraja tosha ya maisha! Chamsingi usiwe mbali ya mboni zake!
Hisia zinaumiza sana usipojua namna bora na njema ya kuishi maisha yako ya amani na furaha!
Tumaini lako daima liwe kwa Mungu, mwanadamu tumia akili na utashi huna haja ya kujitesa hisia! AMEN!
TOA MAONI YAKO HAPA
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!
